
14 Apr 2023
WAKAZI WA NJOMBE NA MAENEO YA JIRANI KUNA MAMBO MAZURI KWAAJILI YENU KULETA MAPINDUZI KATIKA SEKTA YA KILIMO
Kampuni ya Shikamoo Parachichi inapenda kuwajulisha wakazi wa Njombe na maeneo jirani tumeandalia kitu kizuri kwa ajili yenu ikiwemo wakazi wa Mundindi,Madilu,Ludende,Mlangali,Lubonde kwa lengo la kuleta mapinduzi katika sekta ya Kilimo.Kampuni pia inaendelea kununua parachichi aina ya Hass na kuendelea na uzalishaji wa miche ya parachichi na kuwauzia Wakulima kwa bei nafuu,Kutoa elimu ya kilimo bora cha parachichi ili kuendana na soko.Pia Kampuni ya Shikamoo Parachichi inasaidiana na Wadau mbalimbali kama AVO AFRICA Kuosha na kupack parachichi.