KAMPUNI YA SHIKAMOO PARACHICHI INAENDELEA KUNUNUA PARACHICHI BORA AINA YA HASS

Kampuni inapenda kuwajulisha Wananchi wote kwamba inaendelea kununua matunda aina ya hass kwa bei elekezi."Nyote mnakaribishwa".