MICHE BORA YA PARACHICHI

Wananchi wote ndani na nje ya nchi mnakaribishwa kwa miche bora ya parachichi na kuwauzia Wakulima kwa bei nafuu ili kuhakikisha kuwa kila Mkulima anaweza kununua miche hii kwa urahisi zaidi, pamoja na elimu ya namna ya utunzaji wa miche hiyo pale inapokuwa shambani hadi kufikia hatua ya mavuno