GARI AMBALO LIMEPAKIA PARACHICHI KUTOKA SHAMBANI

Gari hili limepakiwa parachichi kwenye tray;ambazo zimepimwa tayari kabisa kupelekwa kiwandani kuoshwa na kufanyiwa packing kwa lengo la kusafirishwa."KAZI IENDELEE"